Cesare M. wrote:
Mimi kujifunza lugha ya Kiswahili, lakini ni vigumu sana kupata kitabu au mfululizo TV katika lugha ambapo mimi kuishi. Na kila mtu anajua watu kujifunza lugha kwa kasi zaidi wakati wao kusoma/kuangalia sinema/kuandika na kuzungumza lugha ambazo mara kwa mara. Hivyo napenda kama sisi kuwa na majadiliano kwa Kiswahili. Tunaweza kuuliza masuala ya kila mmoja! Mimi kuuliza suala (kwa Kiswahili) na bango ya pili, yeye majibu ya suala (kwa Kiswahili) na anauliza suala kwa mtu ambaye atakuwa wa mwisho baada ya kwake.
Formiko wrote:
Unafikiri ya lugha ya Kiswahili?
You asked if I believe the language of Swahili. I think you meant do I think in Swahili.
I'm not positive, but I believe you would say
Unadhania Kiswahili?
La, sinadhania Kiswahili.
Je, una gari?
Nusura wrote:
Mwimbaji unayependelea ni nani? Pia, kwa nini mtu fulani huyu ni mwimbaji unayependelea?
(= who is your favorite singer? And why is this person your favorite singer?)
Formiko wrote:Nusura wrote:
Mwimbaji unayependelea ni nani? Pia, kwa nini mtu fulani huyu ni mwimbaji unayependelea?
(= who is your favorite singer? And why is this person your favorite singer?)
^^^^^^^^^^hakuna Kiingereza!^^^^^^^^^^
Formiko wrote:Ninapenda Regina Spektor. Kwa nini? Sikilizeni! -->http://www.youtube.com/watch?v=wigqKfLWjvM
Formiko wrote:swali sawa..
Nusura wrote:Halbarad65, ujaribu kuzungumza na sisi!
ceid donn wrote:Jambo?! Jina langu ni Cade. Mimi ni Mmarekani. Nilizaliwa California lakini ninaishi Texas sasa. Ninapenda muziki na (mimi) hucheza muziki wa Kimarekani wa "jazz" na muziki kizungu "classical" wa klasiki wa Ulaya.
Nilisoma muziki chuoni. (Mimi) ni mchezaji gitaa na mwimbaji. (Mimi) ni mwalimau pia.
Return to “African Indigenous Languages”
Users browsing this forum: No registered users and 13 guests