Can we hold a DISCUSSION in SWAHILI ?

User avatar
Set
Posts:844
Joined:2010-08-25, 13:26
Real Name:Alex
Gender:male
Country:DEGermany (Deutschland)
Re: Can we hold a DISCUSSION in SWAHILI ?

Postby Set » 2014-12-27, 13:17

Najua hii ni suali kukuu lakini kuna baadhi ya mifano ya nano huku:
[url=Mapokezi]http://de.bab.la/woerterbuch/swahili-englisch/mapokezi[/url]

Mimi nina suali pia. But I'll say it in English; where do you put the object prefix when you have two verbs? For example 'I want to see you', is it nataka kukuona or nakutaka kuone? Or both?
Native:[flag=]en[/flag] Good:[flag=]de[/flag][flag=]ca[/flag] Focusing on:[flag=]fa[/flag][flag=]ku[/flag][flag=]ps[/flag] Interested in:[flag=]zza[/flag][flag=]tr[/flag][flag=]sw[/flag]

vijayjohn
Language Forum Moderator
Posts:27056
Joined:2013-01-10, 8:49
Real Name:Vijay John
Gender:male
Location:Austin, Texas, USA
Country:USUnited States (United States)
Contact:

Re: Can we hold a DISCUSSION in SWAHILI ?

Postby vijayjohn » 2015-08-19, 2:59

Hujambo, Set (na asante sana)! Habari za siku nyingi?

Nafikiri kwamba Waswahili husema "nataka kukuona."

vijayjohn
Language Forum Moderator
Posts:27056
Joined:2013-01-10, 8:49
Real Name:Vijay John
Gender:male
Location:Austin, Texas, USA
Country:USUnited States (United States)
Contact:

Re: Can we hold a DISCUSSION in SWAHILI ?

Postby vijayjohn » 2016-03-29, 3:41

Rafiki zangu! Tuzungumze Kiswahili! :P

Kiswahili changu ni kibaya sana. :headbang: :silly:

vijayjohn
Language Forum Moderator
Posts:27056
Joined:2013-01-10, 8:49
Real Name:Vijay John
Gender:male
Location:Austin, Texas, USA
Country:USUnited States (United States)
Contact:

Re: Can we hold a DISCUSSION in SWAHILI ?

Postby vijayjohn » 2017-10-07, 4:06

Labda ninaweza kuzungumza na kujifunza Kiswahili kwa Reddit.

langmon
Posts:608
Joined:2018-10-23, 17:51
Gender:male

Re: Can we hold a DISCUSSION in SWAHILI ?

Postby langmon » 2018-11-13, 5:47

Hamjambo?

Mimi ninafuraha sana.
Kiswahili kimesharudi kwa maisha yangu tena.
Kimesharudi zaidi, lakini hakijatoka kabisa kabla ya kurudi.
Sasa nimekunywa maji ya matunda ya zabibu (= jusi ya zabibu).
Na ninyi je, mnapenda jusi hiyo? Au hamipendi?
this is a reboot

vijayjohn
Language Forum Moderator
Posts:27056
Joined:2013-01-10, 8:49
Real Name:Vijay John
Gender:male
Location:Austin, Texas, USA
Country:USUnited States (United States)
Contact:

Re: Can we hold a DISCUSSION in SWAHILI ?

Postby vijayjohn » 2019-11-21, 1:17

Sijambo, na wewe?

Kwa kweli, sijui - labda. Ninafikiri kuwa ninapenda maji ya matunda ya zabibu. Ninapenda sana kula zabibu!

Haya ni maneno ambayo ninataka kuyakumbuka:

bunch of bananas = mkungu wa ndizi
corn flour = unga wa mahindi
wheat flour = unga wa ngano
stroll = matembezi
to start = kuanza
to finish = kumaliza
to repair = kukarabati
to walk = kutembea
timetable(s) = ratiba
early = mapema


Return to “African Indigenous Languages”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 14 guests