[Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

User avatar
Antea
Posts:3954
Joined:2015-08-23, 10:53
Real Name:c
Gender:female
Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby Antea » 2016-03-29, 20:55

Sina, hiyo habari. Ninapendelea umeme

Mtu chini yango anacheza gitaa

vijayjohn
Language Forum Moderator
Posts:27056
Joined:2013-01-10, 8:49
Real Name:Vijay John
Gender:male
Location:Austin, Texas, USA
Country:USUnited States (United States)
Contact:

Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby vijayjohn » 2016-03-29, 22:35

Hapana, siwezi kucheza gitaa.

Mtu chini yangu amekutana na mfinyanzi mmoja.

User avatar
Antea
Posts:3954
Joined:2015-08-23, 10:53
Real Name:c
Gender:female

Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby Antea » 2016-03-30, 18:54

Hapana, sijawahi kamwe kutana na mfinyanzi

Mtu chini yangu analala vizuri

vijayjohn
Language Forum Moderator
Posts:27056
Joined:2013-01-10, 8:49
Real Name:Vijay John
Gender:male
Location:Austin, Texas, USA
Country:USUnited States (United States)
Contact:

Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby vijayjohn » 2016-03-30, 21:02

Silali sasa lakini nililala vizuri. ;)

Mtu chini yangu hanywi maji sasa.

User avatar
Antea
Posts:3954
Joined:2015-08-23, 10:53
Real Name:c
Gender:female

Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby Antea » 2016-04-02, 8:40

Sinywi maji sasa, ninakunywa maziwa

Mtu chini yangu atakuwa anakwenda soko la kununua leo

vijayjohn
Language Forum Moderator
Posts:27056
Joined:2013-01-10, 8:49
Real Name:Vijay John
Gender:male
Location:Austin, Texas, USA
Country:USUnited States (United States)
Contact:

Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby vijayjohn » 2017-03-12, 5:21

Hapana, kwa kawaida, siendi sokoni.

Mtu chini yangu anahitaji kuzoeza* Kiswahili.

*(I'm not entirely sure whether that's right. I meant 'to practice').

User avatar
Antea
Posts:3954
Joined:2015-08-23, 10:53
Real Name:c
Gender:female

Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby Antea » 2019-12-23, 22:32

Ndio, lakini sina kiwango kizuri.

Mtu chini yango anahitaji kuosha gari lake.

User avatar
linguoboy
Posts:25540
Joined:2009-08-25, 15:11
Real Name:Da
Location:Chicago
Country:USUnited States (United States)

Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby linguoboy » 2020-01-02, 17:25

Sina gari.

Mtu chini yango ana sababu ya kuhangaika.
"Richmond is a real scholar; Owen just learns languages because he can't bear not to know what other people are saying."--Margaret Lattimore on her two sons

User avatar
Antea
Posts:3954
Joined:2015-08-23, 10:53
Real Name:c
Gender:female

Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby Antea » 2020-01-07, 17:36

Ndio, mengi :lol:

Mtu baada yangu ana maumivu ya kichwa sasa.

User avatar
Antea
Posts:3954
Joined:2015-08-23, 10:53
Real Name:c
Gender:female

Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby Antea » 2021-08-21, 14:17

Ndio, hiyo ni kweli.

Mtu aliye chini yangu anahitaji likizo.

User avatar
Antea
Posts:3954
Joined:2015-08-23, 10:53
Real Name:c
Gender:female

Re: [Swahili] Mtu chini yango (MCHEZO)

Postby Antea » 2022-10-31, 10:35

Ndiyo, hiyo ni kweli.

Mtu aliye chini yangu anahitaji kununua kitambaa kipya cha meza.


Return to “African Indigenous Languages”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 8 guests