[Swahili] (Jambo la kupitishia muda langu)

User avatar
Laoshu505000
Posts: 212
Joined: 2007-10-10, 1:37
Real Name: Moses M McCormick
Gender: male
Location: none
Country: US United States (United States)

[Swahili] (Jambo la kupitishia muda langu)

Postby Laoshu505000 » 2008-09-28, 19:08

Kila mtu habari!

Kweli sijaandika katika jarida langu la kiswahili kwa kipindi kirefu sana. :o
lakini leo nataka kuzungumzo kuhusu jambo la kupitishia muda langu.
nitakapokuwana wakati, mimi kwa kuwaida huvua samaki ne mke wangu. hasa,
kama hali ya hewa nzuri sana. Tunapenda kuvua samaki wakati wa kipindi cha joto.
Napenda kucheza mchezo na rafiki zangu pia.. kwa mfano sisi kwa kuwaida hucheza Playstation na xbox na kadhalika. Napenda kutazama sinema namke wangu. Tutaenda kwona baadhi ya sinema mara kwa mara pia. Haya, wakati wengine, nitazungumzo juu ya muda yengine mungu akipenda. Kwa heri.

Panya

Return to “African Indigenous Languages”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 1 guest