Kweli sijaandika katika jarida langu la kiswahili kwa kipindi kirefu sana.

lakini leo nataka kuzungumzo kuhusu jambo la kupitishia muda langu.
nitakapokuwana wakati, mimi kwa kuwaida huvua samaki ne mke wangu. hasa,
kama hali ya hewa nzuri sana. Tunapenda kuvua samaki wakati wa kipindi cha joto.
Napenda kucheza mchezo na rafiki zangu pia.. kwa mfano sisi kwa kuwaida hucheza Playstation na xbox na kadhalika. Napenda kutazama sinema namke wangu. Tutaenda kwona baadhi ya sinema mara kwa mara pia. Haya, wakati wengine, nitazungumzo juu ya muda yengine mungu akipenda. Kwa heri.
Panya