[Swahili] Mradi wangu wa kiswahili

User avatar
Laoshu505000
Posts: 212
Joined: 2007-10-10, 1:37
Real Name: Moses M McCormick
Gender: male
Location: none
Country: US United States (United States)

[Swahili] Mradi wangu wa kiswahili

Postby Laoshu505000 » 2008-08-13, 3:33

Kila mtu habari!

leo mimi nataka kuzungumzo kuhusu mradi wa kiswahili wangu! Natakiwa kuchagua nchi ya bara la .Africa. Nataka kuchagua nchi ya Senegal.

Nchi ya Senegal iko Magharibi ya bara la Afrika. Inapakana na nchi ya Gambia upande wa kusini, na nchi ya Mauritania upande wa kaskazini na nchi ya guinea upande wa kusini. Mji mkuu wa Senegal ni Dakar. Miji mingine mikubwa ni Kaolack na Bignona na Diourbel. Nchi ya Senegal ina mlima mrefu ambao unaitwa Sandoundou, Tambacounda na mto mkubwa ambao unaitwa Senegal River. Na ziwa kubwa ambalo linaitwa lake retba. Na jangwa kubwa ambalo linaitwa Lompoul. bahari kubwa ambayo inaitwa Saint Louis na bonde kubwa linaloitwa Senegal Valley. Sijawahi kusafiri nchi ya Senegal laakini nataka kwenda sana! Sawa kila mtu basi.. wakati wingine nitazungumzo juu ya nchi ya Senegal zaidi. Tutaonana tena mungu akipenda!

User avatar
Sarabi
Posts: 923
Joined: 2003-03-11, 0:32
Location: Cer - sau iad - nu ştiu sigur
Country: US United States (United States)

Re: Mradi wangu wa kiswahili

Postby Sarabi » 2008-08-13, 9:09

Sawa. Kwa nini unaandika "-zungumzo"? Si -zungumza kama vitenzi vyote vingine?

Uwe na siku njema.
English; français (B1); español (A2/B1, 3 años y trofeo Duo); română (un an + Duo Nivel 13); italiano (principiante; Duo Livello 19); norsk (A2/B1, Duolingo Nivå 24); kinesisk 中文 (beginner, Duo Lvl 十七)

Official Dabbling History: 1.5 semestre nihongo; 2 semestre Kiswahili; 3 lingvistikk klasser

Duome.eu stats (if link stops working, endret jeg brukernavn)

User avatar
Laoshu505000
Posts: 212
Joined: 2007-10-10, 1:37
Real Name: Moses M McCormick
Gender: male
Location: none
Country: US United States (United States)

Re: Mradi wangu wa kiswahili

Postby Laoshu505000 » 2008-08-13, 16:57

Ah, asante sana rafiki yangu! nikutaka kwaandika 'zungumzo' :lol: kwa kweli, niliandika sentensi hizi mpaka usiku wa manane, kwa hivyo nilipoandika sentensi hizi, nimechoka kidogo. :oops: asante sana :burning:


Return to “African Indigenous Languages”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 1 guest