Hujambo, bwana! Karibu. Video yako ni safi sana! Mimi sisemi Kiswahili barabara, lakini nilitafuta kosa moja katika Kiswahili chako, kwa hivyo ningependa kukusaidia.
video ya kiswahili yangu -> video
yangu ya Kiswahili
-Kwa sababu "yangu" ni muhimu kuliko "ya Kiswahili".

Pia unasema "kitabu changu cha Kiswahili".
nataka kumwongesha video yangu kwa kiswahili.
Ala! Uliandika sahihi pindi hiyo.
...nitapenda sana!
Yaani "mtaipenda sana"? Jibu langu ni "Ndio!"
Kwa kweli, naona kwamba unazungumza Kiswahili vizuri sana. Ninafurahi kukuona hapa Unilang. Kama unataka kuzungumza, nitakuwapo hapa.
Tutaonana!

English; français (B1); español (A2/B1, 3 años y trofeo Duo); română (un an + Duo Nivel 13); italiano (principiante; Duo Livello 19); norsk (A2/B1, Duolingo Nivå 24); kinesisk 中文 (beginner, Duo Lvl 十七)
Official Dabbling History: 1.5 semestre nihongo; 2 semestre Kiswahili; 3 lingvistikk klasser
Duome.eu stats (if link stops working, endret jeg brukernavn)