[Swahili] Kuhusu video yangu ya kiswahili

User avatar
Laoshu505000
Posts: 212
Joined: 2007-10-10, 1:37
Real Name: Moses M McCormick
Gender: male
Location: none
Country: US United States (United States)

[Swahili] Kuhusu video yangu ya kiswahili

Postby Laoshu505000 » 2008-08-08, 22:47

Kila mtu habari!
Mimi ninafurahi kuja hapa kuzoezi kiswahili changu!
Naona kwamba watu wengi wanajifunza lugha ya kiswahili sasa.
kwa hivyo, nataka kumwongesha video yangu kwa kiswahili.
natumaini kwamba, nitapenda sana!

http://www.youtube.com/watch?v=m3-OxnG9dyA
Last edited by Laoshu505000 on 2008-08-13, 3:36, edited 1 time in total.

User avatar
Sarabi
Posts: 923
Joined: 2003-03-11, 0:32
Location: Cer - sau iad - nu ştiu sigur
Country: US United States (United States)

Re: Kuhusu video yangu ya kiswahili

Postby Sarabi » 2008-08-09, 9:05

Hujambo, bwana! Karibu. Video yako ni safi sana! Mimi sisemi Kiswahili barabara, lakini nilitafuta kosa moja katika Kiswahili chako, kwa hivyo ningependa kukusaidia.

video ya kiswahili yangu -> video yangu ya Kiswahili
-Kwa sababu "yangu" ni muhimu kuliko "ya Kiswahili". :) Pia unasema "kitabu changu cha Kiswahili".

nataka kumwongesha video yangu kwa kiswahili.

Ala! Uliandika sahihi pindi hiyo. :tomato:

...nitapenda sana!

Yaani "mtaipenda sana"? Jibu langu ni "Ndio!"

Kwa kweli, naona kwamba unazungumza Kiswahili vizuri sana. Ninafurahi kukuona hapa Unilang. Kama unataka kuzungumza, nitakuwapo hapa.

Tutaonana! :burning:
Last edited by Sarabi on 2008-08-10, 3:03, edited 1 time in total.
English; français (B1); español (A2/B1, 3 años y trofeo Duo); română (un an + Duo Nivel 13); italiano (principiante; Duo Livello 19); norsk (A2/B1, Duolingo Nivå 24); kinesisk 中文 (beginner, Duo Lvl 十七)

Official Dabbling History: 1.5 semestre nihongo; 2 semestre Kiswahili; 3 lingvistikk klasser

Duome.eu stats (if link stops working, endret jeg brukernavn)

User avatar
Laoshu505000
Posts: 212
Joined: 2007-10-10, 1:37
Real Name: Moses M McCormick
Gender: male
Location: none
Country: US United States (United States)

Re: Kuhusu video ya kiswahili yangu

Postby Laoshu505000 » 2008-08-09, 13:27

Asante sana rafiki yangu!

naona kwamba unasema kiswahili vizuri sana pia. Ulijifunza lugha ya kiswahili wapi na kwa muda gani? na umewahi kusafiri Kenya au Tanzania? nimefurahi kukutana na we pia. Tutaonana tena mungu akipenda.


Panya


Return to “African Indigenous Languages”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 1 guest