0 = sifuri
1 = moja
2 = mbili
3 = tatu
4 = nne
5 = tano
6 = sita
7 = saba
8 = nane
9 = tisa
10 = kumi
* 11 = kumi na moja
* 12 = kumi na mbili
* 13 = kumi na tatu
* 14 = kumi na nne
* 15 = kumi na tano
* 16 = kumi na sita
* 17 = kumi na saba
* 18 = kumi na nane
* 19 = kumi na tisa
20 = ishirini
* 25 = ishirini na tano
30 = thelathini
40 = arobaini
50 = hamsini
60 = sitini
70 = sabini
80 = themanini
90 = tisini
100 = mia
* 200 = mia mbili
* 300 = mia tatu
* 400 = mia nne
* 500 = mia tano
* 600 = mia sita
* 700 = mia saba
* 800 = mia nane
* 900 = mia tisa
1000 = elfu
* 2000 = elfu mbili
* 100 000 = laki
1 000 000 = milioni
1 000 000 000 = bilioni